WANYAMA PORI
Sunday, January 28, 2018
FAIDA ZA WANYAMA PORI.
FAIDA ZA WANYAMA PORI
.
1. kuvutio cha watalii.
2. kutuingizia pesa za kigeni.
Thursday, January 25, 2018
AINA ZA WANYAMA PORI.
Kwakutumia kigezo cha nini wanakula tunapata anina mbili za wanyama pori.
1. Wnyama pori wanaokula majani. kwamfano, tembo, paa, swala, sungura nk.
2. Wanyama wanaokula nyama. kwamfano, simba, chui, mbwa mwitu, mbeha,
MAANA YA WANYAMA PORI
Wanyama pori ni aina ya wanyama wanaishi porini. Mfano wa wanyama pori ni kama vile simba, tembo, kima, swala, pundamilia, chui, twiga, kifaru nakadhalika.
/UunsBpkSYOI/AAAAAAAAAhg/OJTjdbBj4u8/s1600/maliasili+(1).JPG" />
Home
Subscribe to:
Posts (Atom)